Kwamba Wewe ndiye Mwenye Akili Zaidi!
Kwamba Wewe ni Taa ya Uzuri!
Kwamba Wewe ni Mkarimu kabisa!
Kwamba Wewe ndiye Mlinzi na Mwenye kurehemu! 151
Kwamba Wewe ndiye mpaji wa riziki!
Kwamba Wewe ndiye Mlinzi daima!
Kwamba Wewe ndiye ukamilifu wa Ukarimu!
Kwamba Wewe ni Mrembo Zaidi! 152
Kwamba Wewe ndiye Mwenye kuwaadhibu maadui!
Kwamba Wewe ni Msaidizi wa masikini!
Kwamba Wewe ndiye Mwenye kuwaangamiza maadui!
Kwamba Wewe ndiye mwenye kuondosha khofu! 153
Kwamba Wewe ndiye Mwenye kuangamiza mawaa!
Kwamba Wewe ndiye mkaaji katika yote!
Kwamba Wewe haushindwi na maadui!
Kwamba Wewe ndiye Mlinzi na Mfadhili! 154
Kwamba Wewe ni Bwana wa lugha zote!
Kwamba Wewe ndiye Mtukufu!
Kwamba Wewe ndiye Mharibifu wa Jahannamu!
Kwamba Wewe ndiye mkaaji mbinguni! 155